TUNAFUNGA MFUMO WA UMWAGILIAJI MAJI KISASA KWA GHARAMA NAFUU SANA

minael

New Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
1
Reaction score
7
TUNAFUNGA MFUMO WA UMWAGILIAJI MAJI (DRIP IRRIGATION ), KUANZIA NUSU HEKA NA KUENDELEA,

umuhimu wa kutumia mfumo wa umwagiliaji maji kwa njia ya dripu zinazomwaga matone kidogo kidogo,

1. matumizi ya maji yanakuwa kidogo sababu yanamwaga katika mche husika.

2. mimea inapata maji katika kiwango stahiki hivyo inapunguza mimea kuathiriwa na ukungu.

3. unapangilia muda mzuri wa umwagiliaji maji.

4. ni njia rahisi ya kusambaza dawa kwa njia ya maji na dawa kupenya vizuri katika udongo.

5. inapendezesha shamba lako linakuwa katika mpangilio mzuri pia ni rahisi kulihudumia shamba.
Tunafunga kwa ubora na kwa kutumia vifaa imara vinavyodumu kwa muda mrefu miaka nane,

a) ekari moja tunafunga kwa gharama ya milioni 2.5 ikijumuisha vifaa, ufundi na gharama ya usafiri.

b) nusu eka tunafunga kwa gharama ya milioni 1.5 ikijumuisha vifaa, ufundi na usafiri.

c) robo heka tunafunga kwa gharama ya milioni moja.

Mawasiliano zaidi tupigie, 0745478823, 0657570212

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mko vizuri sana ila mmetumia vigezo vipi kusema inajumlisha na usafiri!

Mkulima wa morogoro na wa Mwanza usafir ni sawa?
Na kama hakuna chanzo cha maji karibu hapo mnafanya vipi?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo gharama zenu zinahusisha hayo yote kwenye picha yenu?

Na subscribe for updates
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…