CCTV CAMERA KIT AND INSTALLATION
Cctv camera ambazo connection yake ni wired zipo za aina mbili coloured camera na colorvu camera.
1. Coloured camera
Izi zinatoa picha yenye rangi kwenye mwanga (mchana na usiku ikiwa karibu na mwanga wa taa) , kwenye giza inatoa picha black and white lakini resolution ni nzuri clear kama inavyokuwa kwenye mwanga utofauti ni rangi tu
2. Colorvu Camera
Izi zinatoa picha yenye rangi wakati wote masaa 24 (kwenye giza na mwanga
💢CCTV camera 4 channel kit & Installation
4 Channel DVR
4 Camera 1080p
4x 20M Cables
1x USB Mouse
2x Power Supplies
1 x 4 way splitter
Hard drive 1000 GB
Router (for mobile view)
INSTALLATION
BEI:
1. Coloured complete set ya Camera 4 ni 880,000/=
2. Colorvu complete set ya Camera 4 ni 1,180,000/=
3. Coloured complete set ya Camera 8 ni 1,300,000/=
4. Colorvu complete set ya Camera 8 ni 1,750,000/=
Wasiliana nasi: 0745146690 / 0656190449
Condition: New
Oficce location: Kinondoni Studio
Instagram: @skmquality @skmquality_