Tunafurahia Mayele kuondoka, Je mabeki wetu watapata wapi uzoefu!

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Yes halipingiki Azam sio sana ila Simba wanakunywa mvinyo kufurahia tetesi za Fiston Kalala Mayele kuondoka ndani ya mabingwa mara 29 na washindi wa medali kombe la Afrika shirikisho oo nimetaka kusahau pia mabingwa wa kombe la Azam hawa ni YANGA.

Sawa tunafurahia Mayele kuondoka Yanga tunafurahia Mayele kuondoka ndani ya nchi ya Tanzania, zaidi ya yote wachezaji dizaini ya Mayele zaidi ya kuipa Yanga heshima pia wameipromo ligi yetu vizuri sana.

Hoja ya msingi sasa sawa Mayele atasepa mshambuliaji gani mwingine atatoa upinzani kwa hawa mabeki wetu je tutegemee kina Sopu kutoa upinzani wa kutosha kwa mabeki wa ligi kuu kiasi ya kuweza kupambana na washambuliaji hatari huko dunia ya kwanza?

Sio ajabu mabeki walikua wanacheka na kufurahia baada ya dakika 90 kukamilika kama Mayele hajatetema, ilikua inawalazimu mabeki kuwa macho dakika zote za kipute kuhakikisha hakuna vibration siku hiyo.

Kwani nasema uwongo wajameni sidhani muulize beki wa Gabon jana, Uliza yule beki ya timu ya South Afrika, uliza Inonga na Ouatarra, uliza Nurdin Chona beki wa Prison yule watakwambia Mayele ni mtu wa dizaini gani.

Hakika Mayele anasepa ila natumai mabeki wa Tanzania wamepata uzoefu wa kutosha na kufahamu washambuliaji wakali wanakabwaje, sio ajabu viwango vya mabeki wetu vikaanza kushuka kwani kumkaba Mayele ilikua inahitaji ufanye mazoezi ya mara mbili zaidi.
 
Yaani wewe ni kama unajitia kidole kinyeoni halafu unanusa. Simba hawana habari ya huyo Mayele wenu wao wako bize kuandaa³ jeshi la ushindi kwa ajili ya Super cup na msimu ujao wewe kutwa kucha unajaza server na manyuźi yako kuijadili Simba. Au unafikiri Ghalib atakusogeza karibu? Naona unateseka sana au huu ushabiki umeanza msimu huu. Umefika mahali unawaboa hadi wana Yanga wenzako
 
Kwa hiyo Mayele ni mshambuliaji mkali? [emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787]

Mshambuliaji mkali hawezi kulingana magoli na kiungo kamwe.
Unamkumbuka Terminator Meddie Kagere? Yule ndiye mshambuliaji mkali
Rage ! Rage ! Rage !
 
Back
Top Bottom