"Tunaheshimu Kalonzo Musoka, Tunahashimu Mzee Raila Odinga" Ruto.

Royals

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
1,466
Reaction score
378
Haya ni maneno ya Mheshimiwa Ruto katika Kampeni zake na Charity Ngilu huko Ukambani kwa mujibu wa K24 Tv leo.

Je, unadhani kuwa inaashiria lolote kwa mustakabari wa siasa zinazoendelea Kenya?

Ikizingatiwa kuwa rafiki yetu mmoja humu jamvini inaelekea ndiye yaani Kabaridi.

Ab-Tichaz, Mwita Maranya, livefire, Mfianchi na wengine ni nini maoni yenu?
 
Kalonzo is a watermelon. Kitakachomsaidia kusurvive ni kujiunga na tinga vinginevyo he'd have become past tense just like Musalia, Uhuruto na wengine. Je Tinga atakaa naye hadi mwisho au atamtupilia mbali na kumteua mtu mwingine?
 
Anajua ya kuwa muungano wa CORD si wa kuchezewa maana wanajua mbinu nyingi za kufanya kampeni na pia ana uhakika ya kuwa yeye na Uhuru wanachofanya ni kupima ya kuwa wanaweza kupata kura kiasi gani ili wajiandae kwa 2017 au march 2018
 
Haya ni maneno ya Mheshimiwa Ruto katika Kampeni zake na Charity Ngilu huko Ukambani kwa mujibu wa K24 Tv leo.

Je, unadhani kuwa inaashiria lolote kwa mustakabari wa siasa zinazoendelea Kenya?

Ikizingatiwa kuwa rafiki yetu mmoja humu jamvini inaelekea ndiye yaani Kabaridi.

Ab-Tichaz, Mwita Maranya, livefire, Mfianchi na wengine ni nini maoni yenu?
Royals mbona mnakubali kuwa distracted namna hii. Kile viongozi wanasema wakati huu haina mshiko. There is too much attention being given to aspirants. Kilichobaki ni kile marehemu karisa maitha alikuwa akisema. Wanaume hukutana uwanjani. mengine ni kujaribu kujivinjari lol!
 
Last edited by a moderator:

Kabaridi.
"Wanaume hukutana uwanjani, mengine ni kujivinjari tu" Heko mkuu, hapa nimekuvulia kofia.
 
Last edited by a moderator:
Kalonzo is a watermelon. Kitakachomsaidia kusurvive ni kujiunga na tinga vinginevyo he'd have become past tense just like Musalia, Uhuruto na wengine. Je Tinga atakaa naye hadi mwisho au atamtupilia mbali na kumteua mtu mwingine?
Hapo kwa Kalonzo umegonga ndipo...the man is playing survival politics to the tee!...kama asingejiunga na Raila basi
ingekula kwake mapema sana! Tinga inabidi akae nae benet mpaka mwisho wa safari maana walitia sahihi mkataba
kisheria na the agreement cant be broken just like that.....Labda akishapata urais atafute jinsi ya kumgeuzia jamaa
kibao lakini itakua kaaazi!!!
 
Haya ni maneno ya Mheshimiwa Ruto katika Kampeni zake na Charity Ngilu huko Ukambani kwa mujibu wa K24 Tv leo.

Je, unadhani kuwa inaashiria lolote kwa mustakabari wa siasa zinazoendelea Kenya?

Ikizingatiwa kuwa rafiki yetu mmoja humu jamvini inaelekea ndiye yaani Kabaridi.

Ab-Tichaz, Mwita Maranya, livefire, Mfianchi na wengine ni nini maoni yenu?

Hawa washagundua kampeni za kumtusi Raila hazitofua dafu ila kumpa ujiko RAO....na kwa vile inabidi
wazunguke nchi nzima kutafuta kura, basi hawana budi ku-change their style of campaigning.

Walipotoka Hague kipindi kile, walitukana sana katika mikutano yao mpaka jamaa za ICC wakawaambia
'we are watching events in Kenya'...kama onyo dhidi ya uchochezi.

Reality is slowly sinking in for them.
 
kwli mkuu ni kujivinjari tu...lol:smile:

Mkuu Kabaridi, hujambo?
Hebu kuwa wa kwanza kuweka maoni yako hapa kuhusu siku ya leo na matokeao ya mchakato wa chaguzi za leo. Ni nini uwazacho?
 
Sijambo Royals..

kama mkenya nafuatilia kwa kina uchaguzi wa vyama unavyoendelea wala sijasikia taharuki mahali popote. Ingawa bado mapema kuangaza hali tukingojea matokeo ya kura, inaashiria mazuri kuhusi hali ya kisasa kenya na ukomavu uliopo katika anga za siasa. Isipokuwa tu hali ya mvutano ambayo imeshuhudiwa sehemu chache, sina wasiwasi, najua hali itakuwa tulivu.
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwa Kalonzo umegonga ndipo...the man is playing survival politics to the tee!...kama asingejiunga na Raila basi
ingekula kwake mapema sana! Tinga inabidi akae nae benet mpaka mwisho wa safari maana walitia sahihi mkataba
kisheria na the agreement cant be broken just like that.....Labda akishapata urais atafute jinsi ya kumgeuzia jamaa
kibao lakini itakua kaaazi!!!

Abi - Titchaz, Heshima mbele,

Kumbuka ya Musalia Mudavadi na Uhuru Kenyatta....walisaini mkatabaka mwisho wa siku Kenyatta kageuka na kusema 'Dark Forces' yaani 'nguvu za giza' zilimfanya asaini ule mkataba ...Siasa ni kitu cha ajabu sana kwani kitu chochote chawezekana kutokea.
 
Mkuu Shadow,

Salaam.

Kama "Dark Forces" inaweza kumfanya Uhuru kusaini asipokusudia na huku akiwania nafasi kubwa katika nchi, hii si jambo la kupuuzia. Na kama Musalia ndiye kafanya Forcing ya namna hii, hii ni hatari kubwa kwa siku za mbele.

Mungu saidia Kenya mara hii.
 
Abi - Titchaz, Heshima mbele,

Kumbuka ya Musalia Mudavadi na Uhuru Kenyatta....walisaini mkatabaka mwisho wa siku Kenyatta kageuka na kusema 'Dark Forces' yaani 'nguvu za giza' zilimfanya asaini ule mkataba ...Siasa ni kitu cha ajabu sana kwani kitu chochote chawezekana kutokea.
Shadow,

Heshima narudisha kwako mkuu.

Kuhusu ulosema hapo juu nataka nikukumbushe kitu kimoja...Uhuru Kenyatta cannot be trusted under no
circumstances whatsoever!...You can take that to the bank. Ogopa nyumba ya Mumbi mazee.

Kisha huo mkataba na MaDVD na Uhuru was done in haste to try and respond to the CORD coalition. It was not a
genuine agreement from the jump.

Mkataba wa CORD was written on solid ground and deposited at the Registrar's office. That's why its a serious
piece of paper and breaking it will have serious ramifications up to and including being de-registered.
 
Last edited by a moderator:
Ab-Tichaz.
Salaam.
Uzoefu wa uchangiaji humu jamvini kuhusu siasa za Kenya unaonesha kuwa wewe uko unaekemea upande wa CORD na rafiki yetu Kabaridi yeye ni Ruto damu.

Leo TNA hawakupiga na watapiga kura kesho. Ni nini maoni yako? Kuna lililojificha nyuma yake?
 
Royals,

TNA/Jubilee wamepiga kura sehemu kadhaa lakini ukweli ni kwamba hii shughuli imekua ngumu zaidi ya makadirio yao.

...afu pia kuna vile nasikia jamaa walikua wanataka wakombe masalia kutokana na fall out ya kura za CORD.

...tusubiri hio kesho tuone.
 
...afu pia kuna vile jamaa wanataka wakombe masalia kutokana fall out ya kura za CORD. Nimekunukuu mkuu Ab- Tichaz

ODM walikuwa na wagombezi kama 6000 nchini kote na TNA ni kama 3000 hivi. Hii yaonesha nini?

Hii inaonesha kuwa ODM imekuwa na imekuwa na wagombezi wengi kila mahali na hivo huashiria kuwa ina wapiga kura wengi kili mahali kuliko vyama vingine Kenya. Kama hao tuu wangekuwa ndiyo wapiga kura basi tayari habari ingekuwa ingine.

TNA nayo kama itayahitaji masalia ya ODM basi ujue watakuwa wamesha pata majibu ya nini matokeo ya huko mbeleni.

Mungu saidia Kenya.
 
Royals,

TNA/Jubilee wamepiga kura sehemu kadhaa lakini ukweli ni kwamba hii shughuli imekua ngumu zaidi ya makadirio yao.

...afu pia kuna vile nasikia jamaa walikua wanataka wakombe masalia kutokana na fall out ya kura za CORD.

...tusubiri hio kesho tuone.

ODM wamepiga kura county 44 kati ya 47. Hadi sasa ODM imeonyesha kujipanga vizuri na nidhamu ya hali ya juu. Iwapo matokeo zoezi la uchujaji yatakubalika basi Tinga is halfway to Ikulu.
 
Mkuu simplemind,
Wee subiri Kabaridi atokelezee hapa uone.
 
Back
Top Bottom