Royals mbona mnakubali kuwa distracted namna hii. Kile viongozi wanasema wakati huu haina mshiko. There is too much attention being given to aspirants. Kilichobaki ni kile marehemu karisa maitha alikuwa akisema. Wanaume hukutana uwanjani. mengine ni kujaribu kujivinjari lol!Haya ni maneno ya Mheshimiwa Ruto katika Kampeni zake na Charity Ngilu huko Ukambani kwa mujibu wa K24 Tv leo.
Je, unadhani kuwa inaashiria lolote kwa mustakabari wa siasa zinazoendelea Kenya?
Ikizingatiwa kuwa rafiki yetu mmoja humu jamvini inaelekea ndiye yaani Kabaridi.
Ab-Tichaz, Mwita Maranya, livefire, Mfianchi na wengine ni nini maoni yenu?
Royals mbona mnakubali kuwa distracted namna hii. Kile viongozi wanasema wakati huu haina mshiko. There is too much attention being given to aspirants. Kilichobaki ni kile marehemu karisa maitha alikuwa akisema. Wanaume hukutana uwanjani. mengine ni kujaribu kujivinjari lol!
Hapo kwa Kalonzo umegonga ndipo...the man is playing survival politics to the tee!...kama asingejiunga na Raila basiKalonzo is a watermelon. Kitakachomsaidia kusurvive ni kujiunga na tinga vinginevyo he'd have become past tense just like Musalia, Uhuruto na wengine. Je Tinga atakaa naye hadi mwisho au atamtupilia mbali na kumteua mtu mwingine?
Royals, Je wanawake nao?...:confused2:Kabaridi.
"Wanaume hukutana uwanjani, mengine ni kujivinjari tu" Heko mkuu, hapa nimekuvulia kofia.
Haya ni maneno ya Mheshimiwa Ruto katika Kampeni zake na Charity Ngilu huko Ukambani kwa mujibu wa K24 Tv leo.
Je, unadhani kuwa inaashiria lolote kwa mustakabari wa siasa zinazoendelea Kenya?
Ikizingatiwa kuwa rafiki yetu mmoja humu jamvini inaelekea ndiye yaani Kabaridi.
Ab-Tichaz, Mwita Maranya, livefire, Mfianchi na wengine ni nini maoni yenu?
Kabaridi.
"Wanaume hukutana uwanjani, mengine ni kujivinjari tu" Heko mkuu, hapa nimekuvulia kofia.
Mkuu Kabaridi, hujambo?
Hebu kuwa wa kwanza kuweka maoni yako hapa kuhusu siku ya leo na matokeao ya mchakato wa chaguzi za leo. Ni nini uwazacho?
Hapo kwa Kalonzo umegonga ndipo...the man is playing survival politics to the tee!...kama asingejiunga na Raila basi
ingekula kwake mapema sana! Tinga inabidi akae nae benet mpaka mwisho wa safari maana walitia sahihi mkataba
kisheria na the agreement cant be broken just like that.....Labda akishapata urais atafute jinsi ya kumgeuzia jamaa
kibao lakini itakua kaaazi!!!
Abi - Titchaz, Heshima mbele,
Kumbuka ya Musalia Mudavadi na Uhuru Kenyatta....walisaini mkatabaka mwisho wa siku Kenyatta kageuka na kusema 'Dark Forces' yaani 'nguvu za giza' zilimfanya asaini ule mkataba ...Siasa ni kitu cha ajabu sana kwani kitu chochote chawezekana kutokea.
Shadow,Abi - Titchaz, Heshima mbele,
Kumbuka ya Musalia Mudavadi na Uhuru Kenyatta....walisaini mkatabaka mwisho wa siku Kenyatta kageuka na kusema 'Dark Forces' yaani 'nguvu za giza' zilimfanya asaini ule mkataba ...Siasa ni kitu cha ajabu sana kwani kitu chochote chawezekana kutokea.
Royals,Ab-Tichaz.
Salaam.
Uzoefu wa uchangiaji humu jamvini kuhusu siasa za Kenya unaonesha kuwa wewe uko unaekemea upande wa CORD na rafiki yetu Kabaridi yeye ni Ruto damu.
Leo TNA hawakupiga na watapiga kura kesho. Ni nini maoni yako? Kuna lililojificha nyuma yake?
Royals,
TNA/Jubilee wamepiga kura sehemu kadhaa lakini ukweli ni kwamba hii shughuli imekua ngumu zaidi ya makadirio yao.
...afu pia kuna vile nasikia jamaa walikua wanataka wakombe masalia kutokana na fall out ya kura za CORD.
...tusubiri hio kesho tuone.

ODM wamepiga kura county 44 kati ya 47. Hadi sasa ODM imeonyesha kujipanga vizuri na nidhamu ya hali ya juu. Iwapo matokeo zoezi la uchujaji yatakubalika basi Tinga is halfway to Ikulu.