Hebu niulize dau kubwa ni kiasi gani! Maanake nimelileta hapa JF nikiamini kuwa somebody May be a doctor anaweza ame-encounter kitu kama hiki! Kwa upande wa pesa sidhani kama inaweza kuwa kikwazo maana kikubwa kinachotakiwa ni mtoto wa wazazi hawa wawili!