Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Jana nimefurahishwa na huyu refa, kama kuna matokeo niliyapenda ni ya jana watu waligawana point kihalali. Kikubwa zaidi kumpongeza huyu bwana na wachezaji kumhadaa refa awape penalty.
OK kibinadamu akataka kuhadaika wachezaji pinzani wakamfwata wakamkomalia tunaomba VAR, refa kapeleka mpira kwenye penalty box, kaenda var kajiridhisha karudi no penalty piga mpira pambana na hali zenu.
Nilichokiona kama taifa tutakaa kimya kuna nchi wakipiga kelele za VAR haraka wanasiikilizwa.
Ndugu zangu Watanzania jana walilia VAR ile red ya Nova kwa hili refa hakututendea haki, nahisi aliogopa kuonekana fala akasahau kuna mwenzie wa mechi ya Zambia kaukubali ufala kajirekebisha mpira ukaendelea.
Sijui nguvu gani ila wachezaji nao wanatakiwa kuonyesha userious kukomaaa tunataka VAR, jana captain wetu angeshirikiana na wenzie kumkomalia refa basi angeenda VAR bila shida.
Anyway yamepita tumshukuru Allah kwa kila jambo tuombe tuwe na wasikivu kama huyu refa..