Tunahitaji consultant wa Kusajili Medicated soap

Tunahitaji consultant wa Kusajili Medicated soap

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Habari wakuu,

Tukiwa na uzoefu wa kuzalisha bidhaa mbali mbali na mafunzo kwa wajasiriamali, Mpango wetu kabla ya January ni kuipandisha sabuni moja medicated isajiliwe TMDA na kuingia masoko makubwa kama super market.

Hivyo tunahitaji mtu mwenye uelewa wa nini kinahitajika TMDA kukamilisha usajili. Ni kazi ya mkataba kwa shughuli kama hizi za usajili tu.

Piga 0713-039875
 
Hivi sabuni ni TMDA au TBS?

toka wamebadili mambo sielewi kabisa

na vipi Mkipitia SIDO?
 
Ni kama sikuelewi unahitaji mshauri ama ushauri or both
 
Back
Top Bottom