Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Binafsi naona tunaishi kwenye Nchi ambacho hata ukiulizwa utaje shule zilizoko wilaya uliyotoka huwezi kuzijua;
Nashauri; Kuwe na ukurasa (Data base) ukiingia unapata Shule zote kwa kila mkoa na kwa kila Wilaya
1. Mfano: Kuwepo na shule za A-level (mnaweza kwenda mbali na kuweka combination)
2. Shule za O-level (Zitenganishwe zile za Serikali na zile za Binafsi)
3. Shule za Msingi (Za Serikali na Zile za Binafsi)
4. Shule za wenye mahitaji maalum
5. na pengine shule za Dini (Kiislam/Kikristo)
Nafikiri ipo haja ya kufanya vivyo hivyo kwa upande wa Vyuo wakianzia ngazi ya Diploma kwenda juu kwani Sio sawa kufikiria kila mtu anajua vyuo vya Tanzania na mahala vilipo?
Hii data base iwe inafanyiwa maboresho kila mwaka pengine Kila mwezi wa Tisa (Septemba) ili wazazi wakihitaji shule, wajue pa kuanzia.... Ikiachwa kiholela bila maboresho itakuwa haina maana yoyote!