Tunahitaji jersey nzuri kama fahari yetu sote!

wakati wenzetu wanafanya maandalizi ya timu zao za taifa,nyie endeleeni kudai jezi nzuri mnasahau naandalizi ya timu
 
Ndio mana kila siku tunasema vijana wa some shule...Yan Hawa jamaa wanapenda kudeal na petty issues, mambo makubwa Wala huwezi kuwasikia, imagine time imefungwa lakin bado wapo na jezi tu...hii nchi matahira ni wengi
 
Naanza kuamini kuna 10% inahusika.

Sema mnavyofanya mnakosea, mngesubiri mkataba wa Sandaland na TFF uishe ndio muanze huu mchezo wenu.

Kuuanza huu mchezo wakati Sandaland ameweka mzigo sokoni kwa makubaliano ya kimkataba mnakosea sana, mnaonesha dharau ya kiwango cha juu.

Anastahili kabisa kwenda mahakamani. Makonda ana ushamba wa kitoto sana, anatumia nafasi yake kuwakosea adabu wengine.
 
Niungane tu na mheshimiwa makonda moja kwa moja jersey zile hazijashiba kile tunachotaka kuwaonyesha wageni wetu.
Hii ndiyo sandaland alitaka tuwe nayo!View attachment 3677330
But why not this one!View attachment 3677331
MATAKO MAKUBWA anasemaje huko Zenji kenge nyie,badala ya kushughulikia maandalizi mazuri ya Timu bwanako MATAKO MAKUBWA anashupalia Jezi mbaya,goli mbili saaaaafi kabisa kenge nyie
 
MATAKO MAKUBWA anasemaje huko Zenji kenge nyie,badala ya kushughulikia maandalizi mazuri ya Timu bwanako MATAKO MAKUBWA anashupalia Jezi mbaya,goli mbili saaaaafi kabisa kenge nyie
Kufungwa ni part of game!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…