Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Makamu wa Rais wa Malawi Bw. Chilima amekamatwa na kushtakiwa kwa kupokea rushwa ya takribani USD 200,000/- kutoka kampuni ya ujenzi ili kupata tenda katika miradi ya serikali.
Kwa Tanzania hii haiwezi kutokea kwa katiba tuliyonayo kwani watawala wako juu ya katiba.
Tunahitaji katiba mpya itakayosimamia rasilimali za nchi na kudhibiti viongozi mafisadi bila kujali vyeo vyao!