SahihiMakamu wa Rais wa Malawi Bw. Chilima amekamatwa na kushtakiwa kwa kupokea rushwa ya takribani USD 200,000/- kutoka kampuni ya ujenzi ili kupata tenda katika miradi ya serikali.
Kwa Tanzania hii haiwezi kutokea kwa katiba tuliyonayo kwani watawala wako juu ya katiba.
Tunahitaji katiba mpya itakayosimamia rasilimali za nchi na kudhibiti viongozi mafisadi bila kujali vyeo vyao!
Hivi Majaliwa alienda Korea kufanya nini?
Nafikiri kama ni suala la kuangalia na kuhakiki maendeleo na ubora wa mabehewa na engine za treni, tungetuma wahandisi. Sawa, watakuambia oh, aliandamana na wahandisi. Lakini kwanini waziri mkuu aende?Hivi Majaliwa alienda Korea kufanya nini?
Kuna harufu ya ufisadi katika safari hiyo!Nafikiri kama ni suala la kuangalia na kuhakiki maendeleo na ubora wa mabehewa na engine za treni, tungetuma wahandisi. Sawa, watakuambia oh, aliandamana na wahandisi. Lakini kwanini waziri mkuu aende?