GT
Tanzania ๐น๐ฟ ๐น๐ฟ ๐น๐ฟ hii imetoboka. hakuna kitu kinawatesa watu kama upatikanaji wa maji safi na salama.
Bila kupata kiongozi jasiri kama Magufuli alivyofanya kwenye umeme basi taifa hili litabaki kama la wendawazimu.
Before Magufuli umeme ilikuwa ni tabu sasa tunachekelea. yaani huwezi amini Dar watu wanafata maji mbali kusikojulikana.