Tunahitaji kuandaa Timu ya Taifa!

Naona hoja ya Mwakyembe...mafowadi wakali wote nchini ni mapro,anabaki veteran Boko tu
Wachezaji wapo wengi tu, sema makocha wa timu ya Taifa macho yao yapo zaidi simba, Yanga na Azam!
 
Naona hoja ya Mwakyembe...mafowadi wakali wote nchini ni mapro,anabaki veteran Boko tu
Alan Shearer hakuwahi kucheza vilabu vikubwa England kwa maana ya Man U,Liverpool na Arsenal lakini timu ya Taifa alikuwa kinara...Wachezaji wetu wa sasa hawana uwezo ..Shaban Nonda alikuwa anakaa benchi kwa Mmachinga na Idd Moshi..hizi academy zinauwa mpira..nidhamu kama shule wale watoto “watukutu “wenye vipaji vikubwa wanaishia njiani..wenye bidii ndio wanakuja kucheza VPL..Mpira kipaji binafsi kinabeba kuliko team work
 
Yanga simba Azam wachezaji wao wote wa mbele tegemezi sio watanzania unategemea timu ya taifa itakuwa bora???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…