Tunahitaji kuburuzwa na direct colonialism ili kujifunza upya

Tunahitaji kuburuzwa na direct colonialism ili kujifunza upya

wazanaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2020
Posts
1,092
Reaction score
808
Wakuu, tuna miaka 60 ya uhuru, toka mjerumani na muingereza waondoke. Mi naona hawa jamaa wangerudi tena tupigwe viboko kidogo ili tujue machungu ya nchi.

Ndugu zetu wazungu waliacha mashule na reli imara mpaka leo tunazitumia, hawa jamaa tukiwa intergrate nao tutafaidi sana. Mi ningependekeza tuwakaribishe upya, tutajifunza mengi jamani.

Let these people intergrate with africans one more time in a very harsh way. Itatusaidia

Ni mtazamo tu wakuu. Mi nauchukulia ukoloni kama kitu positive.
 
Back
Top Bottom