Tunahitaji kuongezewa mtaji kwa kugawana faida

Mr dark light

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
298
Reaction score
253
Habarini wakuu

Kama wiki zimepita mimi na mwenzangu tumeanzisha biashashara ya kusambaza nafaka sasa tumepata tenda la kusambaza kama tani 5 hivi na mtaji wetu ni mdogo hautoshi hivyo tunatafuta mtu atakayetuzamini kutupatia pesa ili tugawane faida pesa ambayo atatuazima tutaizungusha kwa miezi miwili kila mwezi atapewa 450,000 hivyo miezi miwili ni 900,000, na mtaji tunaohitaji ni milioni 6, njoo pm ili tuzungumze, na kuonana

Note: tutazungusha miezi miwili kwa mwezi tutashusha mzigo mara 3 hivyo kila tukishusha mzigo tukilipwa tutakupa 150k na miezi miwili ikifika tutakurudishia pesa yako kamili
 
Unataka kudhaminiwa tsh ngapi!!?
Pia utaweka dhamana gani dhidi ya pesa unayotaka kukopeshwa kuizungushia katika biashara!??
 
Unataka kudhaminiwa tsh ngapi!!?
Pia utaweka dhamana gani dhidi ya pesa unayotaka kukopeshwa kuizungushia katika biashara!??
Mkuu sisi ni vijana tutakusikiliza wewe vigezo vyako vya dhamana, pesa tunayohitaji kwa sasa ni milioni 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…