Tunahitaji kutengenezewa website(s) na Android Apps.

Tunahitaji kutengenezewa website(s) na Android Apps.

Abdul Ghafur

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
610
Reaction score
749
Ikiwa unaweza au unamfahamu yeyote mwenye yjuzi wa kuunda / kutengeneza website sna android apps zenye ubora na viwango vya juu, tuna kazi za haraka.

Taasisi ya Kijamii ya Kiislaam iitwayo Abraar ipo mbioni kusnzishwa na inahitaji websites na apps. Taasisi itakuwa na vitengo visivyopungua 5 au zaidi. Ikiwemo Msikiti, Madrassa ya Qur'an, Shule ya chekechea na Shule ya msingi.

Tupo Mkoa wa Pwani, Kibaha, Misugusugu, Mtaa wa Vitendo. Kufika kwetu tuoanane na kusaini mikataba kabla ya kuanza kazi ni muhimu. Karibuni.

Wasiliana na Mzee Abdul Ghafur 0625249605
 
Back
Top Bottom