Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
Tunashukuru sana. Mpaka tumeandika hayo fahamu kuwa "yametukuta". Tumeshafanyiwa uhuni.Kazi hii naweza kufanya kwa online na nikawakabidhi kazi ila nipo mbali kama mtakua tayar
Ningepende kuwa moja ya watu walio fanikisha hili Am capable na Web development na mobile kwa flutterIkiwa unaweza au unamfahamu yeyote mwenye yjuzi wakutengeneza website sna android apps zenye ubora na viwango vya juu, tuna kazi za haraka.
Taasisi ya Kijamii ya Kiislaam iitwayo Abraar ipo mbioni kuanzishwa na inahitaji websites na apps. Taasisi itakuwa na vitengo visivyopungua 5 au zaidi. Ikiwemo Msikiti, Madrassa ya Qur'an, Shule ya chekechea na Shule ya msingi.
Tupo Mkoa wa Pwani, Kibaha, Misugusugu, Mtaa wa Vitendo. Kufika kwetu tuoanane na kusaini mikataba kabla ya kuanza kazi ni muhimu. Karibuni.
Wasiliana na Mzee Abdul Ghafur 0625249605
Chakula,malazi na matumizi mnampa mtu huyo aliyekuja?Tunashukuru sana. Mpaka tumeandika hayo fahamu kuwa "yametukuta". Tumeshafanyiwa uhuni.
Sasa mpaka tukutane au hapa kwetu au aje mtu wetu hapo ulipo na tuwe na mikataba ndipo tuanze kazi.
Chakula,malazi na matumizi mnampa mtu huyo aliyekuja?
Mnamlipa pesa yake pia?
Hapo pwani ni karibu na Dar je hakuna company zilizosajiliwa mwende hapo,au unataka sema nako kuna matapeli?
Kila la heri kwenye ujenzi wa mifumo. Ushauri wangu ni kuwa pamoja na kuwa na mkataba, alete mchanganuo wa milestones vs time ambao utawapa picha mapema kama mradi utafanikiwa ama la.Napenda kuwafahamisha kuwa kuna kijana amekuja jana hapa kwetu tumefanya nae mazungumzo ya awali. Nahisi kwamba website designing na android app making ni "creative work". Tutazame.
Kwa sasa tumesitisha zoezi la kupokea maombi mapya. Tumpe 30 days.
Hakukuwa uwezekano wa kumtumia mtu/company mkataba baada ya maelewano katika mazungumzo iwe ni kwa simu ama video call ? Ili kutoa fursa kwa wabunifu walioko mbali ama mlilenga Dar pekee? Anyway sio lazima kufanya haya yote. NaKutakia kazi njema.Samahani hatutoi chochote kwa yeyote. Hii ni biashara. Pesa yake ipi tuliokopa hata tumlipe?
Jaribu kutumia google maps, Utaelewa Misugusugu, Kibaha, Pwani ipo umbali upi na ulipo au na popote pale.
Sitaki "kusema", nimeshaandika nilichoandika juu hapo.
Unafanyaga bei kama nahitaji app pamoja na websiteKazi hii naweza kufanya kwa online na nikawakabidhi kazi ila nipo mbali kama mtakua tayari
Kuna watu wamekuja kutokea Arusha. Wapo wametokea Dar.Hakukuwa uwezekano wa kumtumia mtu/company mkataba baada ya maelewano katika mazungumzo iwe ni kwa simu ama video call ? Ili kutoa fursa kwa wabunifu walioko mbali ama mlilenga Dar pekee? Anyway sio lazima kufanya haya yote. NaKutakia kazi njema.
AhsanteKuna watu wamekuja kutokea Arusha. Wapo wametokea Dar.
Sisi hatupo Dar. Tupo Mkoa wa Pwani, Kibaha, Misugusugu. Tunaitwa Abraar (Waja Complex. Abraar maana yake ni Waja wema.
Unaweza kuutangaza hapa ubunifu wako, tukiupenda tunaweza kukufata ulipo kama wewe huwezi kuja. Lakini hatumpi mtu kazi ambae hatuonani nae.
Shughuli yetu kubwa ni kuwawezesha (Empowerement) binaadam wenzetu kwa vyovyote tuwezavyo. Tuna msemo hapa Abraar "hapewi mtu samaki, anapewa mtu nyavu akavue". Tumelenga sana katika kutoa elimu.
Unakaribishwa.