kinachoendelea duniani ni mafahari kutunishiana misuli na hivyo kusababisha vita maeneo tofauti tofauti. Utawala wa marekani na ulaya kama dola unapitia wakati mgumu kutokana na nchi kama Urusi, China na Korea ya bwana kipanki kutaka kuonesha uwezo wao na kutotaka kunyenyekea tena.
Serikali ya Marekani juzi ilitoa tamko kwamba Urusi ijue kuwa nchi za Afrika zipo chini ya nchi zilizo watawala (colonizers) na ina mikataba ya kibiashara baina yao.
Tamko hilo la Urusi leo siyo kuzijibu nchi za Ecowas bali inalenga moja kwa moja nchi za Marekani na washirika wake. Lolote linaweza likatokea Niger na kusababisha machafuko makubwa.
Najiuliza tu Je Afrika inaweza kuwa shamba la vita vya mafahari wa duniani?
Tujiandae.