Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Kwani ni sekta ipi ambayo, tunaweza sema kweli kwenye miaka yake 5, amefanya kitu ambacho ni tofauti sana, na watangulizi wake???hadi useme kuwa tunahitaji mtu mwingine kwenye kilimo kama yeye???!!!!nchi hii kilimo hakiwezi kukua kamwe kwa bajeti hiyo, na kutumia propaganda nyingi , badala ya vitendo.TUNAHITAJI MAGUFULI MWINGINE AJE KUSHUGHULIKA NA KILIMO, TANZANIA.
Israel 🇮🇱 pamoja na udogo wake wa km 22,145 km wanaisaidia dunia nzima kwenye kilimo. Wanailisha dunia. Wanashangaa nchi ya Tanzania 🇹🇿 yenye 945,087 km² na yenye ardhi ambayo 49.7% inafaa kwa kilimo na nearly 61,500 km² about 6.5% ni uso wa maji unaofaa kwa uvuvi haina ajira wakati wenyewe Israel wana nchi yenye ukubwa wa 22,145 km² of which 21,671 km² ndio ardhi na about 500 km² ni maji.
17.72 % ya ardhi yao ndio inafaa kwa kilimo. Lakini wao wanailisha dunia sisi hata kujilisha hatuwezi. Tunahitaji Magufuli mwingine aje ashughulike na kilimo.
#MagufuliMwingine.
Hatuhitaji mtu. Binaadamu ana mapungufu mengi.TUNAHITAJI MAGUFULI MWINGINE AJE KUSHUGHULIKA NA KILIMO, TANZANIA.
Israel [emoji1134] pamoja na udogo wake wa km 22,145 km wanaisaidia dunia nzima kwenye kilimo. Wanailisha dunia. Wanashangaa nchi ya Tanzania [emoji1241] yenye 945,087 km² na yenye ardhi ambayo 49.7% inafaa kwa kilimo na nearly 61,500 km² about 6.5% ni uso wa maji unaofaa kwa uvuvi haina ajira wakati wenyewe Israel wana nchi yenye ukubwa wa 22,145 km² of which 21,671 km² ndio ardhi na about 500 km² ni maji.
17.72 % ya ardhi yao ndio inafaa kwa kilimo. Lakini wao wanailisha dunia sisi hata kujilisha hatuwezi. Tunahitaji Magufuli mwingine aje ashughulike na kilimo.
#MagufuliMwingine.
Wewe wakupe hata kuwa mkuu wa wilaya pekee alafu wakuone.. Jpm kiboko ya wapuuzi na wavivu wavivu wapenda vya bure na starehe kama wwUmesema vyema kabisa lakini unakosea unaposema tunahitaji Magufuli! Hatuhitaji mtu kama huyu kamwe! Tunahitaji viongozi wenye maono na weledi.