Natafuta mfadhili/ mhisani au mwekezaji.
Mimi nikiwa kama Director wa registered CBO iitwayo lifelong learning community based organisation yenye ofisi Dodoma mjini tunahitaji mhisani/mfadhili au mwekezaji wa hii CBO.
Taasisi yetu imejikita katika kuhamasisha masuala mbalimbali ya kielimu katika jamii kama elimu ya ujasiriamali, stadi za Maisha nk.
pia kutoa huduma ya elimu kuanzia pre- primary na primary school, kwa sasa tunahamasisha na kutoa pre- primary education, hivyo tunahutaji financial support ili kufikia wanajamii wengi wa mjini na vujijini.
Kwa info zaidi 0712867264