Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 406
Habari zenu wakuu. Sisi ni vijana watatu ambao tumeamua kuja na wazo la kujiajiri ambapo mradi ambao tunaufanya ni kununua nyama machinjioni na kuja kuuza sokoni. Biashara hii itakuwa nzuri endapo tutapata uwezeshwaji wa Tshs mil 2 ili tuweze kuikuza biashara yetu.
Endapo tutafanikiwa, biashara itakuwa na uwezo wa kuingiza mpaka shs elfu 50 kwa siku kama net profit. Hivyo kwa return hii tuna uhakika wa pesa kurudishwa ndani ya miezi mitatu tu!
Tunaomba msaada wenu. Biashara hii inafanyikia Dar es salaam.
Mawasiliano : 0683011003