Tunahitaji msaada kwa ninyi wataalamu wa leseni za usafirishaji wa abiria

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,085
Reaction score
15,197
Tunahitaji msaada kwa ninyi wataalamu wa leseni za usafirishaji wa abiria.

Kwa sasa teknolojia imekuwa na mambo yamebadilika sana.

SWALI: Je? Kuna uwezekano wa kupata leseni ya kubeba abiria toka CHANIKA(Dar) mpaka MARANGU MTONI? (MOshi)

Yaani nakula vichwa mdogomdogo panda shusha,huku nikidema ki turisti...haina haraka.

Popote kambi.
 
Hii idea yako ya kula vichwa mdogomdogo maana yake unataka uwe unakata ruti za njiani. Kisheria it’s a nightmare kwa sababu utakutana na faini za kuacha ruti kila mkoa ukipita. Labda ukachukue leseni ya Utalii kabisa, ila nao wana masharti yao magumu.
 
Teknolojia imekua....wanifuatilie tu...sitakata ruti njiani....moja kwa moja mpaka marangu mtoni....chuma inakula mbege...Inarudi na ndizi na Parachichi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…