Kwenu JF members. Tunahitaji mtaalam mwenye uwezo wa kufundisha namna ya kutengeneza sabuni ngumu, sabuni ya maji, sabuni ya Unga, na mengineyo kwa manufaa ya watu wanaotaka kuanza kujiajiri ila utakacho fundisha kiwe kwenye viwango vinavyo kubalika. Kama ni mtaalam ni inbox kwenye email hrd@aidfortradelogistics.org. eleza kile unachoweza kufundisha zingatia kwamba utakao wafundisha ni kuanzia darasa la saba.