Nyie akina nani?
Chauro, kama unampenda utamjali..
ni sentensi fupi sana lakini ukiichambua ndio majibu.
utapenda awe na furaha
utamlinda na magonjwa na hatari mablimbali
uta muheshimu
utamsaidia
Nah,naamini kwenye ukweli lakini ni vipi pale ukweli unapotaka kulazimishwa kuwa uongo.
Unajua unapomwambia mtu ukweli yeye akalazimisha uonekane uongo wewe muache hivyo hivyo maana ukiendelea kung'ang'ania unaweza kuonekana labda na wewe unalazimisha maana siku zote uongo na ukweli hujitenga sasa kama mtu hataki kuamini wewe endelea na ndio maana mimi mtu wa hivyo huwa namwambia vice versa ukweli namwambia uongo na uongo namwambia ukweli maana inakuwa imeishakuwa keroNah,naamini kwenye ukweli lakini ni vipi pale ukweli unapotaka kulazimishwa kuwa uongo.
Dah, hako ni kaugonjwa,Thanks ,pamoja na kufanya yote hayo ni vipi kwa wale wanaonekana hawakuamini kabisa hata ukisema unaenda dukani yeye anaamini ulikuwa na jingine hata kama hufikiri wala hujawahi fanya hayo.
Nyie akina nani?
Eiyer, Hebu fafanua kdg..
Sijakuelewa rafiki.
Huwa tunahitaji nini kuwaonyesha wenzetu kuwa tunawapenda na kuwathamini?
Je huwa tunahitaji kuwadanganya mara zote ili kuwapa faraja kwa yale ambayo hatuyafanyi ili kuwamiinisha na kuendelea kutuamini wakati sivyo?
Uongo katika mapenzi ni vitu ambavo haviepukiki for tunajifunza about our lovers sometimes thrue lying.... Ila tu huo uongo usiwe ni wa kumuumiza mpenzi wako na wala usiwe ni wa kudumu... in the sense vitu vya kudanganya ni vile ambavo sio msingi saaana katika mahusiano - in other words yaani hata mwenzio hakitambua haiwezi kumuumiza. Naamini ukimpenda saana mpenzi wako hutaki aumie, hivo hutufanya sometimes kumuepusha hayo machungu udanganye walau ili tu awe na hali nzuri emotionally hasa kama unafahamu kua ni dhaifu...
Naweza onekana kama nafagilia uongo but trust me kuna situations you can just no tell the truth to your loved ones thou msingi mkubwa wa mahusiano ni Trust. Na ndio maana kama your love ones ana demand ukweli wa kitu ambacho kiko critical na haitajiki udanganye... it is beta kupotezea kuliko kudanganya - hapo unaharibu kila kitu!
Je kuna ubaya wa kuwa mkweli kwa mwenzako?
Mapenzi hayana formulae... na namnukuu JF member Arsene Wenger "Mapenzi kitu cha ajabu saana" kweli kabisa un predictable tokana na the fact kua kila mwanadamu kazaliwa na hulka/tabia tofauti, kalelewa mazingira tofauti na ana tofauti na mwanadamu mwingine yule yeyote, hivo waweza fanya hili kwa huyu and it works... ukaenda na hilo hilo kwa mwingine na it does not....
However...
Personally hapa mimi huona ni matendo.... Actions speaks louder than words... na nafikiri msemo wa mapenzi kikohozi ilitokana na hii fact; huwezi sema unampenda mwenzio bila kuonesha kwa kumjali, kusikiliza, kumthamini na kumfanyia yale yoote ambayo wapenzi (mtu in love) hufanya... mradi isiwe ya kukithiri ama kua too demanding toka kwa mwenzio kufanya the same...
Uongo una nafasi yake katika kufanikiwa/kushamiri kwa mahusiano... Kuna topic juzi kati hapa ilikuwepo jamvini na copy na kupaste (topic "Kanidanganya kwa nia nzuri" ) kuhusiana na jinsi nichukuliavo uongo katika mahusiano....
Kua mkweli daima is the best option... for a relationship to succeed fully inategemea trust... but kama nilivo eleza katika hio green post sometimes uongo hauepkiki....
Kweli kuna visifa vya uongo huwa vinachochea mapenziUongo si mzuri,ila kuna sehemu kwenye mapenzi lazima u aply ka uongo japo kidogo ili mambo yaeze kwenda sawa, kumbuka watu hupenda uongo kuliko kuambiwa ukweli,kwa mfano mumeo anaweza kuwa mbaya wa sura japo umempenda kama alivyo, akiwa anaenda kazini unamwambia you look handdsome, au your the most handsome man i've ever seen. si unaona kabisa na yeye anafurahi lakini akifika kwenye gari anajiangalia kwenye site mirror na kuguna mhhhhhh