The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Uwekezano wa kuingizwa mjini na Samia ni mkubwa sana. Tunahitaji tumpate Rais wazalendo 2025 akauchunguze huu mkataba wa Bandari.
CCM Hawaaminiki na hawajawahi kuaminika kamwe. Mpaka 30 iishe robo tatu ya tuliomo humu aidha tutakuwa tumeshakufa au tu wazee sana.
Hiyo miaka 30 ikiisha hakuna uhakika hawa DP wanaweza kuendelea au la mchakato mzima wa kuwapa DP uligubikwa na rushwa pamoja na utata mwingi. Hatuna imani na SAMIA.