stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,446
- 3,616
Kikwete alisema CCM wapambane wenyewe na wala wasitegemee police. Waliopo sasa wanajua wanachokifanya kilicho asisiwa na Jiwe.wakina lema walivoshinda ubunge NEC haikupewa izi shutma 🤣 🤣 , chama kishakufa kinapiga tu kelele za no reform
chama cha siasa lengo lake ni kushika dolaKikwete alisema CCM wapambane wenyewe na wala wasitegemee police. Waliopo sasa wanajua wanachokifanya kilicho asisiwa na Jiwe.
Kufa kwa cdm imeshashindikana. Na kama kimekufa ndio muda mzuri sheria zingerekebishwa ziache kuipendelea ccm kisha uje kuleta mrejesho hapa.wakina lema walivoshinda ubunge NEC haikupewa izi shutma 🤣 🤣 , chama kishakufa kinapiga tu kelele za no reform
Kwa kura halali, hilo usisahau.chama cha siasa lengo lake ni kushika dola
Ili kumdhibiti wanaoenda maporini wakati wa uchaguziReforms ili uchaguzi uwe wa haki
lengo la chama chochote ni kushika uongozi ndo cha muhimuKufa kwa cdm imeshashindikana. Na kama kimekufa ndio muda mzuri sheria zingerekebishwa ziache kuipendelea ccm kisha uje kuleta mrejesho hapa.
Kwa kura halali, hilo usisahau.chama cha siasa lengo lake ni kushika dola
ukiwa nacho unacho kama hauna unabaki ivo ivoKwa kura halali, hilo usisahau.
I second you Mtibeli🤝Nipo Salama! Hofu Kwenu!
Tunahitaji reforms sio kwaajili ya Chama Fulani bali kwaajili ya vyama vyote.
Reforms kwaajili ya CCM,
Reforms kwaajili ya CHADEMA,
Reforms kwaajili ya vyama vyote vya siasa nchini.
Reforms kwa Sisi tusio na vyama lakini ni wapiga Kura.
Reforms ambazo zitafanya uchaguzi uwe wa Haki ili Ile dhana ya Free and fair election iwe halisi.
Tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi ambayo kupitia hiyo uchaguzi utakuwa huru na wahaki!
Tume Huru ambayo vyombo vya Dola vitakuwa huru kufanya KAZI yao pasipo shinikizo kutoka upande wowote. Mwenye kushinda apewe ushindi wake. Aliyeshindwa akae pembeni ajipange wakati ujao.
Watibeli siku zote hatutakaa upande wa dhulma. Kwa sababu upande wa dhulma ni upande wa mshindwa, upande dhaifu, upande usio na nguvu.
Tunahitaji Reforms ambazo zitafanya Kura ya mwananchi iwe na nguvu.
Hatuhitaji tume ambayo itatupa viongozi wanaoshindwa kutetea wananchi wao na matokeo yake wanajipendekeza kwa Serikali.
Tume ambayo itatupa viongozi wanaotambua nguvu ya mihimili mitatu inayoongoza nchi yetu.
Tume ambayo itatupa wabunge ambao sio wagonga Meza kwa kila kitu hata kama vingine vinatakiwa ku- be challenged.
Tume ambayo itatupa viongozi ambao mtanzania mmoja akiumizwa, akitekwa ni lazima nchi isimame Kwanza kuhakikisha haki ya mtanzania huyo imepatikana.
Tume ambayo itatupa viongozi watakaoheshimu vyombo vya Dola na sio kuvidharau na kudharau vijana wetu wanaofanya KAZI huko kwa kuwapa KAZI kinyume na maadili ya KAZI Yao na kinyume na utu wa mwanadamu.
Tunahitaji Reforms ili uchaguzi uwe wa Haki.
HAKI HUINUA TAIFA!
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa Sasa, Dar es salaam
Acha ushetani wako wa kutumia hovyo neno la Mungu. "Na kazi ya haki itakuwa amani. Na mazao ya haki yatakuwa ni utulivu....". ISAYA 32:17.hakuna haki duniani, hata Biblia inasema wenye nacho wanaongezewa na ambao hawana wanyangaywe walichokua nacho,
israel ndo taifa teule na yote wanaofanyaAcha ushetani wako wa kutumia hovyo neno la Mungu. "Na kazi ya haki itakuwa amani. Na mazao ya haki yatakuwa ni utulivu....". ISAYA 32:17.
Wale vijana tuliosema ni wajinga sasa wameamka. Ni dalili nzuriNipo Salama! Hofu Kwenu!
Tunahitaji reforms sio kwaajili ya Chama Fulani bali kwaajili ya vyama vyote.
Reforms kwaajili ya CCM,
Reforms kwaajili ya CHADEMA,
Reforms kwaajili ya vyama vyote vya siasa nchini.
Reforms kwa Sisi tusio na vyama lakini ni wapiga Kura.
Reforms ambazo zitafanya uchaguzi uwe wa Haki ili Ile dhana ya Free and fair election iwe halisi.
Tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi ambayo kupitia hiyo uchaguzi utakuwa huru na wahaki!
Tume Huru ambayo vyombo vya Dola vitakuwa huru kufanya KAZI yao pasipo shinikizo kutoka upande wowote. Mwenye kushinda apewe ushindi wake. Aliyeshindwa akae pembeni ajipange wakati ujao.
Watibeli siku zote hatutakaa upande wa dhulma. Kwa sababu upande wa dhulma ni upande wa mshindwa, upande dhaifu, upande usio na nguvu.
Tunahitaji Reforms ambazo zitafanya Kura ya mwananchi iwe na nguvu.
Hatuhitaji tume ambayo itatupa viongozi wanaoshindwa kutetea wananchi wao na matokeo yake wanajipendekeza kwa Serikali.
Tume ambayo itatupa viongozi wanaotambua nguvu ya mihimili mitatu inayoongoza nchi yetu.
Tume ambayo itatupa wabunge ambao sio wagonga Meza kwa kila kitu hata kama vingine vinatakiwa ku- be challenged.
Tume ambayo itatupa viongozi ambao mtanzania mmoja akiumizwa, akitekwa ni lazima nchi isimame Kwanza kuhakikisha haki ya mtanzania huyo imepatikana.
Tume ambayo itatupa viongozi watakaoheshimu vyombo vya Dola na sio kuvidharau na kudharau vijana wetu wanaofanya KAZI huko kwa kuwapa KAZI kinyume na maadili ya KAZI Yao na kinyume na utu wa mwanadamu.
Tunahitaji Reforms ili uchaguzi uwe wa Haki.
HAKI HUINUA TAIFA!
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa Sasa, Dar es salaam
israel ndo taifa teule na yote wanaofanya
Ili kumdhibiti wanaoenda maporini wakati wa uchaguzi
ndo taifa teule sasa hamna namnaHao matapeli wa Gaza
ndo taifa teule sasa hamna namna
Umesahau kilichotokea 2019, 2020 na 2024?