PreGE2025 Tunahitaji Reforms ili uchaguzi wa Haki Ufanyike

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hatutaki Tume inayogawa ubunge kama hisani,kwa ahadi iliyopewa Chaumma. Mbona zamani wabunge 2 upinzani walipatikana kwa haki miaka 90
 
kwa WAtumishi tu wa kawaida ndani ya wizara.
Bongo wizara zenye mishahara minono ni zipi bwashee ukitoa wizara ya tamisemi, wizara ya TRA na Wizara ya Ulinzi
 
LEta reforms acha maneno mengi....kwani reform itakuzuia kwenda bungeni kama unafaa?
kwa sababu hamjashinda nyie ndo maaana mnasema reform ila mngeshinda hizi story wala zisingekuepo
 
Huo ni ukweli mchungu, bila mabadiliko kupiga kura ni kupoteza muda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…