hatua ya kwanza katika maendeleo ya nchi ni kuwa na mipango endelevu, la pili ni kutekeleza mipango na la tatu ni kuwa na usimamizi wa utekelezaji wa mipango ya maendeleo.
kama taifa tunahitaji chombo kinachoratibu maendeleo ya taifa na kupanga mipango ya kitaifa ndio maana ni muhimu sana kwetu sisi kuunda TDA kwa ajili ya kuratibu maendeleo yetu.
chombo hiki ndio kipange mipango ya taifa na vyama vya siasa vipange ilani za kisiasa na mambo ya kitaifa iwe ni kupanga mbinu za kutekeleza mipango ya kimaendeleo ya taifa.
1.chombo hiki kikiwepo kitapunguza kauli mbiu za maendeleo bali wataweka mikakati ya kutekeleza mipango ya maendeleo.
2. chombo hiki kitapunguza safari za viongozi nje, bali chombo hiki ndicho kipangiwe ziara za mafunzo ambazo nina uhakika zitakuwa na tija tofauti na utalii tunaoufanya tudhani tunaenda kujifunza
3. chombo hiki kitaweka malengo na mikakati ya kitaifa yenye mantiki kulingana na uchumi wetu na kuweka mikakati ya utekelezaji.
4. chombo hiki ni lazima kiwe na sekita mbalimbali na sio kuchukua watu 30 eti wanapanga mipango ya taifa wanaishia kukopi na kupesti un realistic programs.
5. tuwe serious na chombo hiki kwa kukipa nguvu na kukiacha kifanye kazi kwa weledi sio kupeana kazi kwa kujuana na mwisho wa siku kipo kwa jina lakini kiuhalisia kinakuwa kama hakipo.
nafikiri aliyekuja na kauli mbiu ya maisha bora kwa kila mtanzania angeunda chombo kama hiki kupanga na kuunda vyombo vingine vya kiutendaji kulingana na mahitaji hata kama watanzania wote wasingepata maisha mazuri katika kipindi chake lakini angetambuliwa kuwa yeye ndiye aliyeleta mageuzi kwa kuweka mifumo iliyogeuza uchumi wa nchi.