Tunahitaji Vijana kuuza bidhaa za BIMA

Tunahitaji Vijana kuuza bidhaa za BIMA

somsom

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
44
Reaction score
35
Vijana wa kike na kiume wanahitajika kuuza bidhaa za bima, kazi ni Dar es Salaam, wawe na ujuzi wa bima kuanzia ngazi ya cheti, ni kazi ya masoko, hivyo kama una sifa tajwa tafadhali ni PM kwa maelekezo ya kazi.
 
Weka tangazo lako vizuri. Limekaa kimchongo sana. Huko PM hakuna aliyewahi kutoka salama
 
Back
Top Bottom