kelvinkipeta
Senior Member
- Feb 17, 2012
- 108
- 11
vijana wa kiume hauwahitaji? Hii ajira ya bias, haya bhana kila la kheri na hao mabintiimefunguliwa office ya kisasa ya m-pesa hapa jijini dsm.tunahitaji wafanyakazi hodari wenye uzoefu wa kazi na walio makini na kazi.sifa za mwombaji
1.awe msichana wa miak kati ya 18 mpaka 25
2.awe anajua japo kiingereza cha kawaida tu.
3.awe mwaminifu
mawasiliano
kayd investment
po box 45097
dar es salaam
email:kelvinvitus@ymail.com
mob;0713109099/0758109099
vijana wa kiume hauwahitaji? Hii ajira ya bias, haya bhana kila la kheri na hao mabinti
Ubaguzi wa kijinsia huu yaani wanaume hawatakiwi?
Inaelekea mabinti wanaimudu sana hii kazi au?
mi sifa zote ninazo na umakini pia ila uzoefu wa hyo kazi sina ila natumai nitajifunza na kuwa hodari....sasa sijajua hyo ofisi iko maeneo gani?na mshahara ni sh. ngapi?