Tunahitaji wasichana wa 3 wa kufanta kazi ya mpesa na tgo pesa haraka.


yupo msichana anafanya kazi hiyo..ni mzoefu, ni mchapa kazi sana...mtafute 0759 161747
 
Mmh!, saa ya kazi kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 3 usiku,masaa 13 mtu yupo kazini anaacha masaa 9 tu ya kupumzika na mengineyo,inaonyensha mshahara utakua mnono?
 
hey! kelvo kuna dada mmoja ana sifa zote za kufit hiyo possition na yuko ktk process za kutafuta sehemu nyingine kutokan na mshahara kutokidhi mahitaji em onyesha range ya mshahara kwani yeye . 1]ni mwaminifu 2} ni mchapakazi 3]mbunifu 4]mzoefu 5]yuko ktk wilaya ya temeke.6]anna miaka 22. je ungependa fanya nae kazi?.
 


Hapo kwenye red umetumia sheria za kazi za nchi gani???
weka mshahara na malipo ya hayo masaa 5 yanayozidi
 
kisheria kazi ni masaa 8 tu zaidi ya hapo unamlipa mfanyakazi overtime. hadi saa 3 usiku du!!
 

mtafute msichan huyo mwneye uzoefu wa kazi hii ana kaa changombe karibu na maduka mawili
anaitwa esther -simu no. 0654 77 21 43
 
ukitaka sheria kafanye kazi mahakamani.au fungua biashara yako uweke sheria zako
 
Hv siku hizi watu wanajipangia tu kazi bila ya sheria yoyote kufuatwa?

Eti kuanzia saa 2asubuhi hadi saa3 usiku!

Hebu weka mshahara chap chap kama uko makini na watu unaowahitaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…