Tunahitaji wasichana wa 3 wa kufanya kazi ya mpesa na tgo, pesa haraka.

Tunahitaji wasichana wa 3 wa kufanya kazi ya mpesa na tgo, pesa haraka.

kelvinkipeta

Senior Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
108
Reaction score
11
Kay dee investment
po box 45097
temeke
dar es salaam

wanahitajika wasichana watatu wenye umri usiozidi miaka 25 kwa ajili ya kutoa huduma ya mpesa na tigo pesa.
Sifa;
1.awe msichana.
2.awe ana umri usiozidi miaka 25.
3.awe na uzoefu wa kutoa huduma ya mpesa,tigo pesa,air tel money etc
4.awe na uwezo wa kufanya kazi kuanzia saa mbili asubuhi mppaka saa 3 usiku.
5.awe anaishi wilaya ya temeke,jijini dar es salaam
tuma maombi yako kwa;

managing director
kay dee investment
po box 45097
temeke
dar es salaam
simu;
07131090999
0758109099
0788109099
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 24.10.2012
 
Back
Top Bottom