Sawa. Ila Kwa nature ta KAZI yenu hiyo ondoeni kigezo Cha kuwa na cheti Cha veta, Kuna vijana wa kiume na kike kibao mitaani ambao wanatafuta fursa kama hizo lakini hawana elimu na KAZI wanaziweza, hiyo fani mtu akielekezwa kwenye work orientation ndani ya wiki tu kashaiweza...so msibanie watu ajira Kwa kigezo Cha cheti, maana mtu anaweza kuwa na hiko cheti lakini utendaji wa KAZI akawa zero.