Tunahusika na uwekaji mifumo ya umeme majumbani na viwandani. Tuna leseni ya Ewura na tumesajiliwa kwenye mfumo wa Nikonekt

Joined
Jun 25, 2022
Posts
28
Reaction score
27
Katika Kipengele cha uwekaji mfumo wa Umeme katika jengo mpaka kukamilika hupitia hatua 3 kuu.
(1) kutindua ( plan and design circuit's) hii inahusika na ujengaji wa metal box zote single na double, mainswitch, waterproof box pamoja na round box na uwekaji wa bomba baada ya hatua hii plasta na bandaring ndio inafuata

(2) Hatua ya pili (Wiring) hii inahusika na uvutaji wa waya na utandikaji wa bomba juu ya dari na hii hatua ni baada ya plasta na bandaring kupigwa ndio hatua hii inafanyika.

(3) Hatua ya tatu ( Fixing accessories) hii inahusika na ufungaji wa vifaa kama vile switches, sockets na lamp holders ama Decoration lights na hii hatua ni baada ya skimming ama Fundi rangi kupita ndio inafanyika baada ya hii ndio unaweza kuomba Umeme tanesco.

NOTE: Kama una haraka na Umeme alafu una uwezo wa kufanya skimming unaweza kufunga vifaa vyako ili kuomba Umeme ila siku ukija kufanya skimming hakikisha Fundi rangi anazipiga masking tape kwa kila switches hili kutozichafua.

Ukihitaji Huduma hii. Wasiliana nami Fundi umeme mwenye leseni na pia nipo kwenye mfumo mpya wa Ni-konekt unaorahisisha upatikanaji wa Huduma.

0734840433 Call/WhatsApp.

ronicelectrical@gmail.com

 
hiyo JD SMP nfio nini
 
Fundi naomba ufafanuzi wa hiii wanaita ni KONEKT inakuaje kuaje yani
Ni mfumo mpya Ulioanzishwa na Tanesco ambao unarahisisha kupata huduma kwa haraka zaidi bila kufika kwenye ofisi zao. Kwa kutumia mtandao (web portal),Android app,na USSD pia.

Mfumo huu umelinkiwa pia na mafundi umeme wenye leseni ya ukandarasi na waliosajiliwa katika mfumo huu ambapo wewe mteja kwa sasa endapo unahitaji kuunganishiwa umeme unatuma ombi lako then wanakutumia namba ya fomu iyo namba unamtumia mkandarasi aliyekuekewa mfumo wa umeme

Ataitumia kukamilisha fomu yako kwa kujaza taarifa za wiring then anatuma yote hayo yanafanyika kimtandao.

Sasa baada ya muda mfupi utakua unapata update kupitia sms hadi siku unaunganishiwa umeme.na kupitia huu mfumo unahudumiwa kwa haraka sana.

Huduma zipo nyingi sana kama hitilafu,luku zote izo unaweza wasilisha kupitia ni-konekt.
Ahsante.
 

Hii kupitisha waya wa umeme diagonally sio poa mkuu
 
Hii kupitisha waya wa umeme diagonally sio poa mkuu
Explain kwa nini sio poa .cause hata kwenye ghorofa style iyo inatumika pia.au unahofia ufa? Tofali inch 5 ukichimba nusu inch hamna effect yeyote inayo tokea istoshe ni machine imetumika ukuta haujagongwa nyundo.
 
Karibuni sana wadau,ikiwa umefikia hatua ya uwekaji mifumo ya umeme,ambapo hupitia hatua tatu kuu mpaka kukamilika na kuunganishiwa umeme.
1.Stage I(kabla ya plasta ni vizuri)
Kuplan na kueka point za vitu kama sehemu za switch,socket,taa nk,kutindua , kujengea box za switches na kueka conduit pipe.

2.Stage II (Baada ya Blandaring na kabla ya Gypsum board)
Kuplan circuit na kutandaza conduit pipe kulingana na point,kupitisha wire na kufanya connection kulingana na point.

3.Stage III( Baada ya Blandaring na skimming) kufunga vifaa kama switches,taa, socket,fan nk.
Pia stage ya tatu yaweza kuwahi kabla ya skiming kulingana na maamuzi ya mteja.
Baada ya kukamilisha tunaandaa mchoro na kukamilisha ombi la kufungiwa umeme kwa njia ya mtandao kupitia mfumo moya,wa nikonekt then baada ya muda unaunganishiwa umeme.

Napatikana Dar es salaam
Call)WhatsApp 0734840433
Napatikana fb na insta ronic electrical
 
Karibu tukupendezeshee nyumba yako Kwa kukuandalia mifumo ya umeme kuanzia

STAGE 1 _ Kutindua & plan & design
STAGE 2_ Kuvuta waya (wiring)
STAGE 3 Kufunga vifaa ( finishing)

KUMBUKA:

UKIFANYA kazi na sisi tuta kuchorea mchoro wa maombi ya umeme Tanesco na kujaza fomu kwa mfumo mpya wa Nikonnekt.ambapo huna haja Boss wetu ya kufika ofisi za Tanesco. kwakua nina leseni ya EWURA ya Ufungaji mifumo ya umeme na pia nipo kwenye mfumo wa Nikonnekt Tanesco.
mfumo mpya huu unapata huduma ya kuwekewa umeme ndani ya muda mfupi sana .

Call & WhatsApp
0734840433
Tupo Dar es salaam Tanzania. tunakufikia popote [emoji1241].View attachment 2492856View attachment 2492857View attachment 2492858View attachment 2492859View attachment 2492860View attachment 2492861View attachment 2492862View attachment 2492863
 
Tukiachana na vifaa,
Wewe bei yako ya ufundi kwa nyumba ya kawaida mkoa wa Dar ni kiasi gani?
 
Tukiachana na vifaa,
Wewe bei yako ya ufundi kwa nyumba ya kawaida mkoa wa Dar ni kiasi gani?
Habari,hatuna bei fixed boss,ni maelewano tu kulingana na ukubwa wa nyumba.nitext WhatsApp boss 0734840433.
 
Habari,hatuna bei fixed boss,ni maelewano tu kulingana na ukubwa wa nyumba.nitext WhatsApp boss 0734840433.
Kwa hiyo hata range ya bei from minimum to maximum nyumba ya kawaida vyumba vitatu huna?

Kwamba ukikutana na Mimi labda sina bargain power bas lazima nipigwe parefu tu.
 
Boss Maana ya kukuambia nicheki,nina maana kua kuna vitu tunaangalia..,kama location ya site, Je nyumba ipo kwenye hatua gani.,,maana kuna stage 3 na kila stage ina gharama yake.

Stage I .estimation Tsh 250,000
Stage II Tsh 230,000
Stage III 200,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…