Tunaikumbusha Serikali kutuonyesha Hati ya Muungano

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Hoja ya Muungano ni endelevu. Huu ni wakati sasa wa kutuonyesha hati ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
 
Kuna mwaka tulikishafua humu kikwete akatoa hati licha ya kuwa ilikuwa na sahihi za ajabu vipi mnaitaka tena?
 
Mwenye kujua amtag ndugu Pasca mayala hii picha maana yake nini
 

Attachments

  • 20230806_150338.jpg
    32.9 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…