Wote tunafahamu jinsi gharama ya mafuta ya dizeli, petroli na ya taa yalivyo ghali.
Njia pekee ya kushusha gharama hizi ni kuanza kutumia gesi asilia kujaza kwenye magari yetu na hivyo tunaiomba DIT ifungue tawi hapo Mwanza ili wananchi wanaopenda kutumia gesi kwenye magari yao wapate huduma hiyo ikiwa ni pamoja kuwa na vituo vya kujazia gesi kwenye magari.
Tayari utaratibu huu umekwishaanza Dar na hivyo huduma hii pia ni vema pia isambaze mikoani.