Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Habari, leo nimenunua kitochi janja kiukweli kipo simple na kinacover mambo mengi compare na kitochi jinga cha nokia, ili nikifahamu vizuri ilibidi nimeweka smartphone langu kubwa kwenye droo na kwakweli sijalimiss sana..Ila Kwenye hili pilau pendwa kilichomiss ni jamiiforums app, ingependeza sana jf ikawekwa ndani ya kai ios kwani watumiaji ni wengi na watazidi kuongezeka! Ni hilo tu by vvm posting via smartkitochi.