tunaipeleka wapi elimu yetu tz.

tunaipeleka wapi elimu yetu tz.

kwel2

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
109
Reaction score
47
nashangaa sana kuona utitiri wa vyuo vikiwa vinatangaza kozi nakutangaza, kuwa vinadahili hata wale wanafunzi waliopata daraja sufuri katika elemu zao za sekondari, swali je ili mtu aweze kwendelea na masomo ya ngazi ya cheti, au diploma sheria za elimu tz zinasemaje, na kama hivi vyuo vinakiuka masharti nani anajukumu ya kusemea haya.
 
sekta ya elimu tanzania haina mwenyewe..kila mwenye uwezo huanzisha shule au chuo na kujiamulia yy mwenyewe nini afanye. Hii ndio serikali sikivu inayowajali wapiga kura wake bhana.
 
Baada ya kuendesha elimu kibiashara unategemea nini? wenye vyuo na taasisi zao ni wafanya biashara km zilivyo biashara nyingine hivyo wakidahili tu wenye daraja la kwanza(Of whom ni wakutafuta kwa tochi) matokeo yake watashindwa kuwepo sokoni kibiashara...Tanzania kila kitu kinawezekana...
 
nashangaa sana kuona utitiri wa vyuo vikiwa vinatangaza kozi nakutangaza, kuwa vinadahili hata wale wanafunzi waliopata daraja sufuri katika elemu zao za sekondari, swali je ili mtu aweze kwendelea na masomo ya ngazi ya cheti, au diploma sheria za elimu tz zinasemaje, na kama hivi vyuo vinakiuka masharti nani anajukumu ya kusemea haya.

Huo utaratibu wa kudahili wanafunzi waliopata daraja la sufuri umeanza lini? Na ni chuo kipi kinafanya hivyo?
Kama kipo chuo cha namna hiyo tumekwisha!!
 
Back
Top Bottom