nashangaa sana kuona utitiri wa vyuo vikiwa vinatangaza kozi nakutangaza, kuwa vinadahili hata wale wanafunzi waliopata daraja sufuri katika elemu zao za sekondari, swali je ili mtu aweze kwendelea na masomo ya ngazi ya cheti, au diploma sheria za elimu tz zinasemaje, na kama hivi vyuo vinakiuka masharti nani anajukumu ya kusemea haya.