Mdude_Nyagali
Member
- Dec 11, 2022
- 79
- 1,444
Wewe uliacha lini kuwatetea CCM na wahalifu wengine kwa sababu tu unaipenda?Jaribu kuwa mkweli na kuukubali ukweli ingawa unaumiza.Ukiomba jiwe utapewa jiwe.Ukiomba nge halali yako nge.Sikubaliani na hili, Mdude wazee wako, kaka na dada, ndugu zako wa Mbeya na Tanzania nzima wanakosa fedha unafurahia? What did you get? Una tatizo kubwa sana Mdude
StupidfullThank you very much World Bank for listening to us and taking action to block the 138 billion loan to Tanzania. We need loans to improve development through democracy but not loans that are used to hurt the people. God bless Tanzania.
Tunaishukuru bank ya dunia kwa kutusikiliza na kuzuia mkopo wa bilion 138 kwa Tanzania kutokana na mambo ya ukiukwaji wa haki za Binadamu na utawala bora. Tunahitaji mikopo itakayoleta maendeleo na sio kuumiza watanzania.
Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
View attachment 2979136
Labda wabadilishe na jina kabisa!Ngorongoro bila maasai uliona wapi
A grain of wheat...!Serikali ya Ccm itakuja kutoa machungu yake kwako @Mdude_Nyangali🤣🤣
Njia uliyotumia Mdude_Nyagali ni nzuri kwa kupaaza sauti nje ya kichuguu, hata hivyo, hiyo delivery note pamoja na barua ya malalamiko kwenda hicho chombo cha fedha cha dunia (IMF) haikuwa sahihi kuviweka kwenye mtandao inaharibu taswira na mahusiano yako na chombo hicho ijapokuwa hayakuwa majungu. Cha pili, angalau, ungempa mtu mwenye uwezo mzuri wa lugha ya kiingereza kuisanifu kitaalamu, prroofread, grammar na structure vinapwaya sana na wewe nasikia umesoma sheria!!!!!Thank you very much World Bank for listening to us and taking action to block the 138 billion loan to Tanzania. We need loans to improve development through democracy but not loans that are used to hurt the people. God bless Tanzania.
Tunaishukuru bank ya dunia kwa kutusikiliza na kuzuia mkopo wa bilion 138 kwa Tanzania kutokana na mambo ya ukiukwaji wa haki za Binadamu na utawala bora. Tunahitaji mikopo itakayoleta maendeleo na sio kuumiza watanzania.
Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
View attachment 2979136
Nyakati zingine chachechache wacha yawe wazi tu.CCM huwa hawakawii kutoa sababu za uongouongo.Njia uliyotumia Mdude_Nyagali ni nzuri kwa kupaaza sauti nje ya kichuguu, hata hivyo, hiyo delivery note pamoja na barua ya malalamiko kwenda hicho chombo cha fedha cha dunia (IMF) haikuwa sahihi kuviweka kwenye mtandao inaharibu taswira na mahusiano yako na chombo hicho ijapokuwa hayakuwa majungu. Cha pili, angalau, ungempa mtu mwenye uwezo mzuri wa lugha ya kiingereza kuisanifu kitaalamu, prroofread, grammar na structure vinapwaya sana na wewe nasikia umesoma sheria!!!!!
It seems you won't keep confidential which defaces your moral authority participating in clean politics.
To be precise, you should have fine-tuned your letter using a native English language that delivers your heartfelt message with a thrill and feeling of the real taste for courageously representing other politically oppressed victims in the country allegedly facilitated by the funds secured from the International Monetary Fund.
Sikubaliani na hili, Mdude wazee wako, kaka na dada, ndugu zako wa Mbeya na Tanzania nzima wanakosa fedha unafurahia? What did you get? Una tatizo kubwa sana Mdude