Tunaishukuru Serikali kwa kuwajengea nyumba za kisasa waliokumbwa na Maporomoko Hanang

Yaani CCM inajua inatawala wafu 100% ila MUNGU ni mkubwa kuliko wanavyofikiria naziona nyakati zao za mwisho kuna jirani yangu hapa anabanda mazuri ya kufugia mbuzi kuliko huo uchafu!!
Kwa mabanda hayo hayo, UVCCM wa Hanang watakuja na ngonjera za "Nani kama mama?", "Mama kaupiga mwingi", n.k.
 
Hiyo ni satellite picture...em shuka duniani...
 
Tupa picha ya nyumba za mwanzo kabla ya mafuriko!
 
Siyo kwamba nyumba ziko pembeni, halafu haya ni mabanda ya kuku na nguruwe?

Kama hizi ndiyo nyumba, basi serikali ya Samia imewafanyia matusi watu wa Hanang.
Ndio zimekamilika hivyo, alafu moja inabeba familia ya watu 6 hadi 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…