krava
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 225
- 287
Hakika kweli sasa ndio namba zinasomeka barabara maisha yanaongeza vichaa mtaani madeni hayalipiki watu wanagombana kila mahali vikoba hatuhudhurii tena tukikutana kwenye vikoba ni mangumi na mwaka umeisha marejesho haturudishi na kugawana tumeshindwa na hii ni desemba