Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Yes, kwa maana hii competition ya AI itafanya intelligence kuwa na uwezo mkubwa wa kuweza ku dis-organize na re -organize kwa maana naamini AI it evolve kuwa kitu kipya then kwa kutumia ubunifu wake itenda nje ya mipaka iliyowekewa na mwanadamu then itaset mipaka yake ambayo itakuwa ngumu sisi wanadamu kuweza ku-icontrol AI.
Then kitakachofatia ni sisi kuishi under AI rules and guidance.
Then kitakachofatia ni sisi kuishi under AI rules and guidance.