plumber hydrogen
JF-Expert Member
- Feb 17, 2022
- 913
- 1,591
Unapatikana mkoa gani? Je chumba self sebule na jiko wajenga kwa bei gani?Habari ndugu zangu wa JF poleni na majukumu ya hapa na pale.
Sisi ni mafundi ujenzi tunajenga nyumba aina yoyote kulingana na mteja anavyo itaji kwa ubora mkubwa na kwa gharama nafuu zaidi..Vile vile tuna paua tunapiga plasta tuna jenga chemba,na mashimo ya vyoo na kupaka rangi nyumba..
Pia tunaweka mifumo yote ya maji safi na taka kuweka vyoo, maji moto na baridi tunafunga mabeseni,Kitchen sink,bidet na slop sink.
Karibuni sana pia tunatoa ushauri kuhusu ujenzi tuna patikana kwa namba 0785707660
Uliza swali lolote kuhusu ujenzi utajibiwa..
View attachment 2346107
Napatika Dar mkuu lakini ata mkoani tunafika tunajenga kwa laki 9 na nusu lakini maongezi pia yapoUnapatikana mkoa gani? Je chumba self sebule na jiko wajenga kwa bei gani?
Hiyo ni kuanzia msingi mpaka kupau?Napatika Dar mkuu lakini ata mkoani tunafika tunajenga kwa laki 9 na nusu lakini maongezi pia yapo
Hapana ni kuanzia msingi mpaka kozi ya mwishoHiyo ni kuanzia msingi mpaka kupau?
ntakutafuta...Hapana ni kuanzia msingi mpaka kozi ya mwisho
Karibuntakutafuta...