Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
TUNAJENGA UCHUMI JUMUISHI
Taifa letu linalenga kujenga uchumi jumuishi unaokua kwa kasi na unaoimarisha ustawi wa watu kwa kuboresha huduma za jamii na kupunguza umaskini wa kipato kwa mtu mmojammoja.
Chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, Tanzania imekuwa ikijenga uchumi jumuishi.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#SamiaApp
#KaziIendelee
#TumejipataNaMama