Tunajidai na Precision Air kumbe management yake iko hivi?

Duuh.. Majamaa yamesoma balaaa
 
Uzalendo sio mchezo ! Wakenya kwa kuipenda nchi yao akiambiwa afanye hujuma fulani ili Kenya Airway izidi kupaa atashindwa ? Ngazi za juu zishikwe na Watanzania ? Au hatuna wasomi ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaekua ni wewe ambae hutukani?

Mbona sisi wanadamu ni wanafiki sana?

Hujawahi tukana?

Nafiki wewe!
Kwanza pole kwa kukuita dogo... Pili unatukana hata kama hakuna ulazima wa kufanya hivyo....Anything wrong with the post hadi ikapelekea ureact hivyo? Grow up brother.
 
Kwanza pole kwa kukuita dogo... Pili unatukana hata kama hakuna ulazima wa kufanya hivyo....Anything wrong with the post hadi ikapelekea ureact hivyo? Grow up brother.

Unanipangia muda wa kutukana na muda wa kuacha kutukana wewe kama nani?

Mtu anapotukana wewe unapojihisi sio muda sahihi kwendana na unavyotaka wewe sijui haya masharti umeyatoa wapi na unasukumizia watu wewe kama nani hasa?

Nimetukana muda ninaohisi ni sahihi kwangu na sio muda wako wewe!

Hupendi nilivyotukana,ruka post yangu soma zingine,kama snitch sana nenda kwa moderator ukasnitch

Punguza unaa wewe mamalia

Wewe umegrow up mpaka uwaambie wenzio wa grow up kwa mfano?

Kwa vigezo gani hasa?
 
Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…