Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
ili ligi iwe Bora na sio ya hovyo Kwa maoni yako au mtazamo wako ilitakiwa kuwe na gape la points ngapi kutoka team ya 3 Hadi ya mwisho?Ukitaka kujua tanzania tuna ligi ya hovyo angalia huu msinamo kuanzia timu ya tatu kwenye msinamo hadi ya mwisho zimepishana point kumi na moja tu.
Kama Simba anandoto za kuwa bingwa licha ya gepu la point alizoachwa na yanga basi hata mbeya kwanza anaweza kumaliza msimu akiwa nafasi ya tatu. Hatuna ligi tuna bonanza.
View attachment 2197412
Nakazia...✍️ili ligi iwe Bora na sio ya hovyo Kwa maoni yako au mtazamo wako ilitakiwa kuwe na gape la points ngapi kutoka team ya 3 Hadi ya mwisho?
Wewe ni Mawaaa halisi,huna tofauti na mashabiki wa Makolo wanaotegemea kuwa bingwa NBC.Ukitaka kujua tanzania tuna ligi ya hovyo angalia huu msinamo kuanzia timu ya tatu kwenye msinamo hadi ya mwisho zimepishana point kumi na moja tu.
Kama Simba anandoto za kuwa bingwa licha ya gepu la point alizoachwa na yanga basi hata mbeya kwanza anaweza kumaliza msimu akiwa nafasi ya tatu. Hatuna ligi tuna bonanza.
View attachment 2197412