Tunajifunza nini Kenya?

Tunajifunza nini Kenya?

Mystery

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
15,843
Reaction score
31,057
Baada ya matokeo ya uchaguzi wa Kenya kutenguliwa Tanzania tumejifunza somo kubwa sana la demokrasia nchini Kenya.

Ukweli kuna watu wachache sana wameyapokea matokeo hayo kama yalivyo, kwa kuwa wengi wamekuwa hawaamini matokeo hayo kuwa yametenguliwa wakiwemo watu wa NASA wenyewe!

Nakumbuka NASA wenyewe siku wanakata rufani Kenya walisema kabisa kuwa wanakata rufaa siyo kwa sababu wanategemea ushindi katika rufaa hiyo Bali kwa kuwa umewekwa utaribu huo wa kukata rufaa kwa hiyo hakuna namna nyingine ya kufanya ila kukataa rufaa.

Kwa hiyo kilichotokea Kenya ni vigumu kuamini kuwa kinaweza kutokea katika nchi ya kiafrika!

Somo mojawapo kubwa tumalojifunza nchini Kenya ni kuwa kumbe hata kwenye vifaa kama vile vya kielotromiki wizi unaweza kufanyika!

Kwa hiyo somo kubwa tunalojifunza ni kuwa hata watawala walioko madarakani wanaweza kupingwa wakapingika na ushindi wakatoa!

Kwa hiyo hata hapa TZ tunaweza tukayafanya hayo!

Hongeremi wana Kenya kwa maendeleo hayo
 
Watu wametekewa
Hapa kwetu mzee Wetu haipendi muhimili iliyolegea anataka wake ujichimbie zaidi
 
Kwa hiyo somo kubwa tunalojifunza ni kuwa hata watawala walioko madarakani wanaweza kupingwa wakapingika na ushindi wakatoa!
haya mambo ya mahakamani tuyaache kama yalivyo, watuhumiwa wanaweza kata rufaa( kama provission ipo) na mambo yakabadilika, ila kwa fikra zangu bado zinanipa mashaka kuwa uamuzi huu unaweza ukaamsha chuki baina ya wakenya
 
Back
Top Bottom