Tunajifunza nini kwa yanayotokea nchini Marekani kwa Rais aliyeko madarakani kufunguliwa mashitaka?

This is wishful thinking.Watanzania wanataka mambo ya msingi ambayo yataleta maendeleo kwa nchi yao,sio visiasa uchwara na chuki binafsi.Labda umetumbuliwa,ulikuwa na cheti fake au mirija imezibwa halafu unaleta za kuleta hapa.Hapa kazi tu,siasa uchwara na chuki binafsi kulee.
 
Ukitaka kutawala vizuri wacha watu watapike nyonga zao ndicho kinachofanyika Marekani baada ya apo Trump ataendelea labda atatolewa uchaguzi 2020.
 
Yaani we ni MLALAMISHI KAMA WALALAMISHI WENGINE, huna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…